Smart Motors ni kampuni inayoaminika ya usafirishaji na uagizaji magari nchini Tanzania. Huduma zetu ni pamoja na kutoa makontena bandarini, usafirishaji Zanzibar, na uagizaji magari.

Huduma Zetu
Omba Bei

Usafirishaji wa Makontena

Usafirishaji wa Makontena

Usafirishaji wa Makontena

Tunashughulikia makontena ya futi 20, futi 40, 40HC na aina nyingine kulingana na mahitaji ya mteja. Huduma yetu inajumuisha ufuatiliaji wa kontena, maandalizi ya nyaraka, clearing, na kupanga usafirishaji hadi eneo linalohitajika.

Kwa Nini Uchague Huduma Hii?

Tunashughulikia makontena ya futi 20, futi 40, 40HC na aina nyingine kulingana na mahitaji ya mteja. Huduma yetu inajumuisha ufuatiliaji wa kontena, maandalizi ya nyaraka, clearing, na kupanga usafirishaji hadi eneo linalohitajika.

  • Makontena ya futi 20 na 40
  • Clearing na forwarding kwa pamoja
  • Ufuatiliaji wa kontena
  • Usalama wa mzigo kipaumbele

Kwa maelezo zaidi au kupata bei, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba za simu zilizo hapo chini au ututumie ujumbe kupitia fomu ya mawasiliano.

Maswali Yanayoulizwa Sana

SMART Motors inatoa huduma za clearing bandarini, forwarding ya mizigo, usafirishaji wa makontena, usafirishaji na uingizaji wa magari, pamoja na ushauri wa nyaraka za forodha.

Kwa kawaida mteja anatakiwa kuwa na invoice, packing list, bill of lading au airway bill, TIN, kitambulisho, na nyaraka nyingine kulingana na aina ya mzigo. Timu yetu humwelekeza mteja kulingana na mzigo wake.

Ndiyo. Tunasaidia taratibu za uingizaji wa magari, clearing bandarini, nyaraka, ushauri wa gharama na usafirishaji wa gari hadi kwa mteja.

Ndiyo. Tunashughulikia makontena ya futi 20, futi 40, 40HC na makontena mengine kulingana na mahitaji ya mteja.

Muda hutegemea aina ya mzigo, ukamilifu wa nyaraka, malipo na taratibu za mamlaka husika. Tunajitahidi kuhakikisha mchakato unakwenda haraka bila kumchelewesha mteja.

Unaweza kutuma taarifa za mzigo wako kupitia website, kupiga simu +255 714 672 158 au +255 670 517 075, au kutuma email info@smartmotors.co.tz.

Ofisi ya SMART Motors ipo Soge brang. Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelekezo zaidi kabla ya kufika.

Omba Uteuzi