Forwarding ya Mizigo
Forwarding ya Mizigo
Tunatoa huduma za forwarding kwa mizigo ya aina mbalimbali ikiwemo mizigo ya biashara, mizigo ya kampuni, vifaa, bidhaa za dukani na mizigo maalumu. Tunapanga njia salama ya usafirishaji, tunafuatilia mzigo hatua kwa hatua na kumpa mteja taarifa sahihi mpaka mzigo ufike.
Kwa Nini Uchague Huduma Hii?
Tunatoa huduma za forwarding kwa mizigo ya aina mbalimbali ikiwemo mizigo ya biashara, mizigo ya kampuni, vifaa, bidhaa za dukani na mizigo maalumu. Tunapanga njia salama ya usafirishaji, tunafuatilia mzigo hatua kwa hatua na kumpa mteja taarifa sahihi mpaka mzigo ufike.
- Forwarding ya mizigo ya aina mbalimbali
- Ufuatiliaji wa safari ya mzigo
- Uratibu wa usafiri wa mzigo
- Uwasilishaji kwa wakati
Kwa maelezo zaidi au kupata bei, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba za simu zilizo hapo chini au ututumie ujumbe kupitia fomu ya mawasiliano.
Maswali Yanayoulizwa Sana
SMART Motors inatoa huduma za clearing bandarini, forwarding ya mizigo, usafirishaji wa makontena, usafirishaji na uingizaji wa magari, pamoja na ushauri wa nyaraka za forodha.
Kwa kawaida mteja anatakiwa kuwa na invoice, packing list, bill of lading au airway bill, TIN, kitambulisho, na nyaraka nyingine kulingana na aina ya mzigo. Timu yetu humwelekeza mteja kulingana na mzigo wake.
Ndiyo. Tunasaidia taratibu za uingizaji wa magari, clearing bandarini, nyaraka, ushauri wa gharama na usafirishaji wa gari hadi kwa mteja.
Ndiyo. Tunashughulikia makontena ya futi 20, futi 40, 40HC na makontena mengine kulingana na mahitaji ya mteja.
Muda hutegemea aina ya mzigo, ukamilifu wa nyaraka, malipo na taratibu za mamlaka husika. Tunajitahidi kuhakikisha mchakato unakwenda haraka bila kumchelewesha mteja.
Unaweza kutuma taarifa za mzigo wako kupitia website, kupiga simu +255 714 672 158 au +255 670 517 075, au kutuma email info@smartmotors.co.tz.
Ofisi ya SMART Motors ipo Soge brang. Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelekezo zaidi kabla ya kufika.





