Clearing Bandarini
Clearing Bandarini
SMART Motors tunashughulikia mchakato mzima wa clearing bandarini kuanzia uhakiki wa nyaraka, ushauri wa malipo ya kodi na tozo, ufuatiliaji wa mzigo, mawasiliano na mamlaka husika hadi mzigo au kontena linapotolewa bandarini. Tunamsaidia mteja kuepuka ucheleweshaji, makosa ya nyaraka na gharama zisizo za lazima.
Kwa Nini Uchague Huduma Hii?

- Uhakiki wa nyaraka za mzigo
- Ushauri wa kodi na tozo za forodha
- Ufuatiliaji wa mzigo bandarini
- Huduma ya haraka, salama na yenye uwazi
Kwa maelezo zaidi au kupata bei, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba za simu zilizo hapo chini au ututumie ujumbe kupitia fomu ya mawasiliano.
Maswali Yanayoulizwa Sana
SMART Motors inatoa huduma za clearing bandarini, forwarding ya mizigo, usafirishaji wa makontena, usafirishaji na uingizaji wa magari, pamoja na ushauri wa nyaraka za forodha.
Kwa kawaida mteja anatakiwa kuwa na invoice, packing list, bill of lading au airway bill, TIN, kitambulisho, na nyaraka nyingine kulingana na aina ya mzigo. Timu yetu humwelekeza mteja kulingana na mzigo wake.
Ndiyo. Tunasaidia taratibu za uingizaji wa magari, clearing bandarini, nyaraka, ushauri wa gharama na usafirishaji wa gari hadi kwa mteja.
Ndiyo. Tunashughulikia makontena ya futi 20, futi 40, 40HC na makontena mengine kulingana na mahitaji ya mteja.
Muda hutegemea aina ya mzigo, ukamilifu wa nyaraka, malipo na taratibu za mamlaka husika. Tunajitahidi kuhakikisha mchakato unakwenda haraka bila kumchelewesha mteja.
Unaweza kutuma taarifa za mzigo wako kupitia website, kupiga simu +255 714 672 158 au +255 670 517 075, au kutuma email info@smartmotors.co.tz.
Ofisi ya SMART Motors ipo Soge brang. Unaweza kuwasiliana nasi kwa maelekezo zaidi kabla ya kufika.