Mwandishi
SMART Motors
Ilichapishwa:
02 May, 2026
Jamii:
Vehicle
Wasomaji:
16
Mambo Muhimu Kabla ya Kuagiza Gari
Kabla ya kuagiza gari, ni muhimu kujua nyaraka, gharama na taratibu za bandari.
Kuagiza gari kutoka nje ya nchi kunahitaji maandalizi mazuri. Mteja anatakiwa kufahamu chanzo cha gari, gharama za usafirishaji, nyaraka za mauzo, bill of lading, kodi na gharama za clearing. SMART Motors humsaidia mteja kupata mwongozo sahihi ili gari lifike na kutolewa bandarini kwa utaratibu.